Jamii360 Podcast من Daffason
Daffason
Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi. Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their influence on the development of societies (mainly East African/Tanzania) in the globalization era.
الفئات: المجتمع والثقافة
الاستماع إلى الحلقة الأخيرة:
Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo. https://archive.org/download/Episode3_20180312/Episode%20%233.mp3
الحلقات السابقة
-
3 - Episode 3: Majipu ya Magu – Utamaduni wa ‘Punda haendi bila kiboko’ na athari zake katika maendeleo Mon, 12 Mar 2018
-
2 - Episode 1: Podcast ni nini? Wed, 24 Jan 2018
-
1 - Episode 2: Mimba za utotoni: Miiko ya kuongelea ngono na balehe na changamoto zake kijamii Wed, 24 Jan 2018